WASANII WANAHITAJIKA

EMAGS

Sunday, May 12, 2013

HIVI NDIVYO "PAMOJA PARY " YA KIKUNDI CHA SANAA CHA AGESTA CHA JIJINI ARUSHA ILIVYOFANA, TAZAMA PICHA ZA MATUKIO ZAIDI YA 20 HAPA


HAKUNA KAMA AGESTA:
Kikundi cha AGESTA NGOMA wakijiandaaa kuingia kwa stage kupagawisha mashabiki wao
Jana usiku ulikua ni usiku wa burudani ni usiku wa kuwa pamoja kwani kikundi cha sanaa cha AGESTA cha Jijini Arusha kiliandaa show kubwa waliyoipa “PAMOJA PARTY”
Party hiyo ya nguvu iliandaliwa na AGESTA kwa lengo la 
 kuwakutanisha wasanii wa Mkoa wa Arusha pamoja na mashabiki wao na muitikio ulikua mzuri kwani wasanii kutoka vikundi vingine waliweza kuhudhuria na kubadilishana mawazo na kufanya party hiyo kutimiza lengo lake la kuwa PAMOJA.
Like Banana Zorro “Oooh Yeah” ilikua ni bonge moja la show watu wangu wa nguvu na timu nzima yawww.nellykivuyo.blogspot.com ilikua mzigoni ili kuhakikisha tunakuletea matukio yote yaliyotokea katika pamoja party ya kikundi cha sanaa cha AGESTA kutoka Jijini Arusha.
Party hii ilikua ya aina yake kwani mambo mengi ambayo hayakutegemewa yaonekane yalionekana watu wangu, kulikua na fashion show ya nguvu, show kutoka kwa wasanii mbalimbali wakali wa bongo fleva na hip hop kutoka Jijini Arusha.
Mc wa shughuli nzima alikua ni mtu mzima MAS B na stage ilimilikiwa vilivyo na wasanii kibao kama KCK (KID CAN KILL) ni kundi linaloundwa na wasanii wa Hip Hop kutoka Arusha ambao ni
-SPACK DOUGH
-SIMPLE (SIMPOO)
Wasanii wengine waliopanda kwa stage walikua ni
-RAY SWING a.k.a THE NGADA
-AGESTA NGOMA GROUP
-AGESTA DANCERS walifunika ile mbaaaaaaaaaaya
-KING KAKAI
-KURUKUTA
-WAKUMISS
- NA wengine kibaaaaaaao
Sitaki kuongea saaaaaaaaaaaaaana, tazama picha za matukio yote hapa mtu wangu ilikua ni ndani ya LUKUNDANE PUB , shukurani za pekee ziende kwa kikundi cha sanaa cha AGESTA kwa kuandaa show ya nguvu na watu walifurahi kupita kawaida hasa pale walipopita modals.
Makundi mengine ya sanaa Arusha na Tanzania kwa ujumla tunawaomba waige mfano wa kikundi cha AGESTA kuandaa matamasha na kuwakutanisha wasanii kutoka vikundi mbalimbali pamoja na mashabiki wao ili kufurahi pamoja na kubadilishana mawazo.
Twende pamoja kwenye matukio yote hapa chini

Hapa Team Paradise Ikiseti mambo kabla ya safari kuelekea kwenye show
Mitambo iko sawa bandugu kilichobaki kazi tu
Ninja nikijikoki tayari kwa kazi
Kilichobaki ni kuelekea kazini sasa tayari nimeshajikoki mabomu yangu ya kazi
Tulikosa pa kupark wapendwa watu walikuwa wengi ile mbaya


Kikundi cha AGESTA NGOMA katika pozi kabla ya kuingia jukwaania

Kikundi cha AGESTA NGOMA wakijiandaaa kuingia kwa stage kupagawisha mashabiki wao
Ommy B na wenzake toka Cultural nao walikuwepo kuwapagawisha  mashabiki walioudhuria 

Ngoma likaanza kunoga pale Ommy G akiwapa raha mashabiki wote waliohudhuria PAMOJA  PARTY

Diamond kawaharibu wasanii sasa ona Ommy G naye kavua stajini duh!
King Kakai kwa stage , jamaaa ana pumzi ile balaaa "respect"

spack Dough kutoka KID CAN KILL

SIMPLE (SIMPOO) PIA KUTOKA KID CAN KILL kwa stage
Wasanii kutoka vikundi mbalimbali pamoja na mashabiki wakiserebuka

Producer Soja B naye alikuwepo kuipa support Team Paradise kwa kuchukua matukio muhimu
OOooh Yeah. super MC Mas B alikamata MIC
Mmmh! beach wear hilooooooooooooo

Ninja nikiwa kazini watu wangu

Mas B akimpa support RAY SWING a.k.a The Ngada on stage

Mashabiki wakifuatilia burudani kwa stage watu wangu
Mashabiki wakiserebuka kwa stage

Ilikua ni kisanga balaawatu wangu

Ilikua ni Kisanga Kisanga ile mbayaaaaaaa

Mashabiki wakasema hapana tunataka"KWAITOOOOOOOOOOOOOOO"
The Ngada kwa stage kitu cha JEMEDARI

Hadi watasha walikuweepo na walipagawa na Gud Music kutoka kwa Ray swing "The Ngada"

Ray swing a.k.a The ngada kwa stage sasa

Flora kwa stage akionesha vazi lake la beach


Unalisomaje hili vazi la Ubunifu?

AGESTA NGOMA wakiwa jukwaani wakiburudisha wapenzi wa muziki wao

Hili vazi la ubunifu umelionaje?

Vazi la jamaa la ubunifu duh!

Warembo kwa stage wakionesha mavazi ya ubunifu 

AGESTA NGOMA GROUP wakitoa burudani kwa watu waliohudhuria PAMOJA SHOW ya AGESTA
AGESTA NGOMA GROUP wakitoa burudani kwa watu waliohudhuria PAMOJA SHOW ya AGESTA
AGESTA NGOMA GROUP wakitoa burudani kwa watu waliohudhuria PAMOJA SHOW ya AGESTA

picha na Rodgers pamoja na Soja B (Team Paradise)