WASANII WANAHITAJIKA

EMAGS

Monday, February 11, 2013

DIAMOND AWAARIBU WASANII WA FILAMU ARUSHA

WASANII WA ARUSHA PROFESSIONAL MOVIES WAKIRUDI NATAKA KULEWA


Yule gwiji wa muziki Tanzania anayeshine kwa sasa all over Tanzania and East Africa in general Diamond Platnumz a.k.a WASAFI PRESIDENT amewaaribu wasanii wa filamu jijini Arusha..
Hayo yalibanika pale mwandishi wetu alipohudhuria party ya wasanii wa filamu Arusha iliyofanyika katika moja ya club kubwa hapa jijini na kukuta wasanii wa filamu wakicheza huku wakisaura (wakivua) nguo zao moja baada ya nyingine pale ilipopigwa ngoma ya “NATAKA KULEWA”..
Hizi ni baadhi ya picha alizozipata mwandishi wetu wakati alipohudhuria party hiyo na kushangaa kuona wasanii hao wakifanya yao wakati wa party yao iliyokua imedhaminiwa na kampuni inayotengeneza filamu hapa jijini Arusha ya Emags Video Entertainment…

WASANII WA ARUSHA PROFESSIONAL MOVIES WAKIRUDI NGOMA YA NATAKA KULEWA

Blog hii inawauliza wasanii hawa Je, hii ndiyo elimu mnayoitoa kwa wanajamii?
Acheni kufanya mambo ambayo hayaifundishi jamii kwani badala ya kuelimisha jamii mnaipotosha jamii kwa matendo yenu na ndiyo maana watu wengi wanaogopa kuingia kwenye tasnia hii ya sanaa ya kuigiza.


  Tunatoa ushauri kwa wasanii wa Arusha kuacha kuigiza yale yanaimbwa kwenye nyimba za wasanii wetu kwani zingine hazifai kuigwa na mwisho wa siku watajutia yale waliyoyafanya…….







No comments:

Post a Comment