WASANII WANAHITAJIKA

EMAGS

Wednesday, February 13, 2013

KAA TAYARI KWA KIPINDI KIPYA CHA TV TOKA EMAGS VIDEO ENTERTAINMENT KIITWACHO JE INGEKUA WEWE UNGEFANYAJE?

Ile kampuni gwiji na yenye wataalamu waliobobea katika fani ya utengenezaji vipindi vya televisheni, filamu, makala na matangazo ya televisheni EMAGS VIDEO ENTERTAINMENT wameendelea kuleta vitu vipya kwa wapenzi wao baada ya movie ya TEMPTETION OF MY WIFE ambao utaingia sokoni hivi karibuni ikisambazwa na STEPS ENTERTAINMENT ya jijini Dar es saalam.

Hayo yalidhihirika pale mwandishi wetu alipokutana na kundi kubwa la wasanii wa filamu toka Emags wakiwa wako location wakifanya mambo yao.

Tulimtafuta mmoja wa wasanii ambaye ataonekana kwenye kipindi hicho ajulikanaye kwa jina la SEVERINUS MWIJAGE Jr naye akaelezea kuwa “Kipindi hiki kitakua kinafundisha familia mbalimbali na jamii kwa ujumla kufumbua fumbo ambalo jibu atakua nalo mtazamaji” alisema Mwijage

Kama kawaida ya Emags kupenda kukuza Jiji la Arusha kisanaa, Kipindi hiki kitarekodiwa katika jiji la Arusha na mandhari yake.

Hizi  ni baadhi ya picha ambazo mwandishi wetu aliweza kuzipata wakati Emags wakiwa location

CAMERA MAN DIZO AKIFANYA YAKE...
CAMERA MENS DIZO & IBRATZ KAZINI
CAMERA MAN DIZO MZIGONI
MSANII MWIJAGE KATIKA VIDEO YA JE INGEKUWA WEWE
WASANII WA EMAGS WAKIWA KAZINI

DIZO AKIWAJIBIKA
KIKAZI ZAIDI
WAREMBO WA EMAGS WAKIKAMUA KATIKA MOJA YA PICHA
WASANII WAKIWA KATIKA SCENE YA KANISANI
MSANII AKIWA KAJIPUMZISHA BAADA YA KAZI
CHEZEA MISHI NA FELISHA WEWE?
KIKAZI ZAIDI EMAGS ENTERTAINMENT

No comments:

Post a Comment